Majadiliano:Nyumba ya Tippu Tip, Zanzibar

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sina hakika na ujuzi zaidi kama inafaa kutumia link katika Wikipedia ya Kiingereza na kuiweka katika Wikipedia ya Kiswahili, naona ingefaa sana kama makala ingetafsiriwa moja kwa moja kutoka katika Kiingereza kuja Kiwahili huku ikitumia vyanzo vyake vilevile na kuviboresha, labda na wengine wanaweza kutazama hili, Asante sana,