Majadiliano:Ng'ombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Michango yako[hariri chanzo]

Bwana Skeleton salaam. Sikufahamu michango yako. Ulikuwa ukicheza kidogo? Kwa nini umeongeza "Ng'ombe ne mzuri" (sic!)? Ng'ombe ni mzuri kwa kufanyia nini au kwa sababu anafanya nini? ChriKo (majadiliano) 22:04, 16 Julai 2015 (UTC)

ngo'mbe[hariri chanzo]

ng'ombe ni mnyama mkubwa ambaye chakula chake kikuu ni nyasi.ng'ombe hufugwa sana na binadamu kwa ajili ya kumletea maziwa,nyama,ngozi,mbolea n.k.pia ng'ombe hutumika ka ajili ya kilimo,kuvuta mkokoteni.