Majadiliano:NASA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ndesanjo, hujambo. Sidhani ni vema kubadilisha "mradi wa Mercury" kuwa "mradi wa Zebaki". "Mercury" hapa ni jina halisi la kiingereza. Ibaki ilivyo. Pia tusingebadilisha "Gemini" kuwa "mapacha", Wostok kuwa "mashariki" na kadhalika --Kipala 17:35, 3 Aprili 2006 (UTC)