Majadiliano:Mzee

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Si kamusi sahili[hariri chanzo]

John salaam. Wikipedia hii ni kamusi elezo, si kamusi sahili. Wachangiaji wanaulizwa kuandika makala kuhusu mada ya kichwa. Ukitaka unaweza kuchangia Swahili Wiktionary. ChriKo (majadiliano) 18:49, 14 Aprili 2015 (UTC)[jibu]