Majadiliano:Mwembe

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

mwembe ni mmea wa asili ambao una matumizi mengi mbali na matunda kama tulivyozoea. katika utafiti wangu nimegundua kuwa mti wa mwembe unaweza kutoa rangi asilia mbalimbali kama nyekundu, kijani na hata njano.