Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mtanila

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mtanila Secondary School

[hariri chanzo]

Mtanila sekondari ni shule inayomilikiwa na Serikari ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya serikali na Jamii ya wakazi wa Kata ya Mtanila.Shule ilisajiriwa tarehe 8 Desemba 2011 kwa namba S 4520.Shule imeanza kupokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2012.Shule ilianza na walimu wanne wakiongozwa na Mkuu wa Shule mwanzilishi,Winfrid M Haule(B A with Educ).Shule iliziduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya Chunya Mh D.Kinawilo tarehe 13.Machi 2012.Shule hii haijakamilika kwa upande wa majengo (nyumba za walimu,madarasa na hostel),upungufu walimu na vifaa vya kufudishia vikiwemo comuter,power point,vifaa vya maabara na vitabu.Tunaomba wadau wa elimu,marafiki na wapenda maendeleo kuisaidia shule hii ili kuboresha taaluma ili kutimiza motto wa shule: "Quality Education For Success" (By Haule;W.M)