Majadiliano:Mtakatifu Paulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mtume Paulo (7-67 hivi) ni mmisionari mkuu wa Yesu Kristo katika historia ya Kanisa.

Alitangaza kifo na ufufuko wake katika nchi karibu zote zilizopo kaskazini kwa Bahari ya Kati.

Alimaliza ushuhuda wake kwa Yesu kwa kufia dini yake mjini Roma chini ya Kaisari Nero

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 29 Juni pamoja na ya Mtume Petro.