Majadiliano:Mohoro
Mohoro Ni jina lililotokana na jina mti ,(mfuru).katika utawala wa wajerumani gavana wa kipindi bw yawnger maarufu yange ,yeye jina hili aliuita ,amahoro , wakati wa Vita ya majimaji(1905) ndipo wamatumbi wakachanganyika na wandengereko hapo ndipo matamshi takawa mohoro na hili ndilo jina linalotumika mpaka sasa. Imetolewa na badru mlawa mkazi wa mohoro