Majadiliano:Mkoa wa Aichi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Napendekeza kubadilisha makala hizi kwa "mkoa". "Prefecture" si Kiswahili wala Kijapani, ni Kiingereza/Kifaransa tu. Hakuna sababu kutumia neno hili. Kama mikoa hii ni mkoa au jimbo ni jambo la kuelewana. Ninavyoona tumetumia "Jimbo" kama kitengo cha shirikisho chenye kiasi kikubwa cha madaraka ya kujitawala. --Kipala 14:58, 22 Februari 2007 (UTC)[jibu]