Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mji wa Tanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asante kwa ajili ya makala! Lakini siamini ya kwamba asili ya jina "Tanga" ni lugha ya Kiajemi. Habari hii imepatikana wapi? --172.176.17.217 18:18, 25 Desemba 2005 (UTC)[jibu]

Habari iko katika toleo gani? Yaani ya tarahe gani? --Kipala 18:36, 25 Desemba 2005 (UTC)[jibu]