Majadiliano:Kababu za samaki
Mandhari
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Mipira ya samaki)
Tafsiri isiyofaa
[hariri chanzo]Mpira wa samaki ni tafsiri isiyofaa kwa "fish ball". Maana ya mpira kwanza ni "rubber", kwa hivyo ikiwa maana yake ni "ball" hiyo ball ni aina ya rubber au labda ya plastiki. Kwa ujumla, "food ball" ni tonge kwa Kiswahili, au kitonge ikiwa ni dogo. "Meat ball" ni kababu, kwa hivyo labda tutumie hii kwa "fish ball" pia. Mnapendelea neno gani? ChriKo (majadiliano) 08:13, 21 Juni 2022 (UTC)