Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kababu za samaki

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 3 iliyopita by ChriKo in topic Tafsiri isiyofaa

Tafsiri isiyofaa

[hariri chanzo]

Mpira wa samaki ni tafsiri isiyofaa kwa "fish ball". Maana ya mpira kwanza ni "rubber", kwa hivyo ikiwa maana yake ni "ball" hiyo ball ni aina ya rubber au labda ya plastiki. Kwa ujumla, "food ball" ni tonge kwa Kiswahili, au kitonge ikiwa ni dogo. "Meat ball" ni kababu, kwa hivyo labda tutumie hii kwa "fish ball" pia. Mnapendelea neno gani? ChriKo (majadiliano) 08:13, 21 Juni 2022 (UTC)Reply