Majadiliano:Mfereji wa Mariana
Mandhari
Katika swala la lugha kuna kuwa na utata kidogo. Ni vyema panapo andikwa maneno ambayo wengine hawato fahamu, pakawekewa mabano kwa Kiingereza, ili iweze kurahisisha. Kwa maana ya kwamba! Si wote wanaojua Kiswahili sanifu! Mfano neno Bamba lina maana gani? Mimi sikuelewa ila tu nahisi itakuwa Delta kwa Kiingereza (ila sina uhakika kwa hilo na ndio maana nikaona bora tuwe tunaweka mabano kwa Kiingereza ili kurahisha) kwani hata baadhi ya wazungu hawajui haya maneno, hivyo ukiweka mabano na yeye pia anapatakujua. Hii ni faida kwa wote watakao soma makala za wiki kwa Kiswahili. Ahsante.--Mwanaharakati 05:01, 3 Desemba 2007 (UTC)