Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Mangwair

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habari za kimsingi zakosekana[hariri chanzo]

Makala bado yakosa habari za kimsingi kama umri / tarehe au angalau mwaka wa kuzaliwa, alikosoma n.k.. Kwa jumla nafurahia michango ya wanamuziki na upanuzi wa idara hiyo katika wikipedia yetu ila tu ningefurahia zaidi kama makala yaboreshwa kulingana na kawaida ya kamusi elezo. Inaonekana makala hii ni bora tayari kuliko michango ya awali ya wanamuziki mbalimbali. Naomba tuendelee kuboreka! --Kipala 16:39, 25 Agosti 2007 (UTC)[jibu]