Majadiliano:Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
Mandhari
Unahisi ni sahihi kuisema vibaya Nchi yako kwenye mitandao ya kijamii ?
[hariri chanzo]Hususani kwa Nchi za Africa ikiwemo Tanzania,baadhi ya watu wanahisi kuisema vibaya Nchi kwenye mitandao ya kijamii ni jambo sahihi kidemokrasia,wakiulizwa kuhusu jambo hilo hujitetea kwa kusema ni sahihi hata Marekani imeruhusiwa.