Majadiliano:Makonde (Ludewa)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

WANANCHI WA MWAMBAO WANAKABILIWA NA MATATIZO LUKUKI AMBAYO HAKUNA MBUNGE HATA MOJA KATI YA HAO WANANE ALIYE DIRIKI KUTOA UFUMBUZI.MAWASILIANO YA SIMU,BARABARA NI KITENDAWILI KIKUBWA.WABUNGE WOTE HAO WAMEONYESHA USANII KWA HILO.MWAMBAO HATUHITAJI MAJI YAPO BWELELE,MITO,ZIWA VINATOSHA KABISA.TUNAOMBA HATA TUPATE JIMBO LETU LIITWE MWAMBAO NA MBUNGE AKAE MAKONDE LABDA KUTAKUWA NA MABADILIKO.TATIZO SI CHAMA ILA MTU ALIYE CHAGULIWA HANA UZALENDO WA DHATI NA MWAMBAO BALI UPANGWA.