Majadiliano:Lugha ya kuundwa
Mandhari
Je ni Kiswahili sanifu "lugha iliyotengenezwa" ?? Kamusi ya TUKI ina makala fupi kuhusu Esperanto: "Esperanto -(lugha bandia iliyoundwa kutumiwa na watu wote duniani). Hata usipopenda "Lugha Bandia" (mimi nisingeitumia - ina ladha ya "lugha ya uwongo") heri utumie "lugha ya kuundwa" --Kipala 21:22, 27 Februari 2006 (UTC)