Majadiliano:Ludende

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

kianzishwa kwa NGO's ya LUDA(Ludende Associaton),siku za karibuni hapa[hariri chanzo]

siku cha chache tu jirani hapa ludende imeanzicha chama kinacho fahamika kama LUDA,kikiwa na makao yake makuu katika kijiji cha Ludende,chama hicho kimeundwa kwa kufuata taratibu zote zinazo takiwa,chama hicho kina malengo mabalimbali kwa ajiri ya kuinua uchumi wa jamii.