Majadiliano:Lil Wayne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dwayne Michael Carter, Jr. (amezaliwa tar. 27 Septemba 1982) ni mshindi wa Tuzo za Grammy - akiwa kama rapa wa muziki wa hip hop bora kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lil Wayne. Alijiunga na studio ya Cash Money Records akiwa bado yungali bwana mdogo na akabahatika kufanya rekodi kadhaa katika studio hiyo. Wayne alikuwa mmoja kati ya waliokuwa wanachama wa kikundi cha muziki wa rap cha Hot Boys. Dwayne Michael Carter, Jr. (amezaliwa tar. 27 Septemba 1982) ni mshindi wa Tuzo za Grammy - akiwa kama rapa wa muziki wa hip hop bora kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lil Wayne. Alijiunga na studio ya Cash Money Records akiwa bado yungali bwana mdogo na akabahatika kufanya rekodi kadhaa katika studio hiyo. Wayne alikuwa mmoja kati ya waliokuwa wanachama wa kikundi cha muziki wa rap cha Hot Boys.[hariri chanzo]