Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Likunja

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

likunja ni mji unaokua kwa kasi katika wilaya ya ruangwa, hii inatokana na jiografia mzuri iliopo mahali hapo. na nieneo linalofaa kwa biashara ndogo na hata kubwa kama vile kituo cha mafuta kwani likunja ni makutano ya barabara kuu toka mjini lindi kuelekea ruangwa na ruangwa kuelekea mjini nachingwea. pia idadi ya wakazi inaongezeka kila siku kutokana na mazingira mazuri ya kibiashara.