Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:LDP (Kenya)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Inaonyesha kiasi gani bwana Kipala unaijua Kenya. Ukiangalia mfululizo wa makala kuhusu wanasiasa wabunge na vyama pia, basi huzungumzia vyama vya Kenya au siasa ya Kenya tu. Si vibaya. Ni vyema kuandika unalolijua. Inaletamaana.--Mwanaharakati 05:54, 3 Januari 2008 (UTC)[jibu]