Majadiliano:Kumbukumbu la Sheria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jina la makala[hariri chanzo]

Nimeshangaa kuona jina la makala. Nimezoea "Kumbukumbu la Torati" kwa ajili ya kitabu hiki cha tano katika Biblia. Je kuna matoleo yanayotumia lugha hii ?? Yapi? --Kipala 13:00, 2 Oktoba 2006 (UTC)