Majadiliano:Kitabu cha Yoshua

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tukianzisha makala juu ya historia ya Biblia napendekeza tutofautishe "Wanaisraeli" na "Waisraeli". Menginevyo naogopa kuchanganya kabisa kwa "Israel" nchi ya leo na "Israel" ya nyakati za Biblia. Nisipokosei lugha ya kawaida katika theolojia ni "wanaisraeli" (isipokuwa si pekee). --Kipala 08:42, 20 Desemba 2006 (UTC)[jibu]