Majadiliano:Kimiya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maliwatoni[hariri chanzo]

Ni neno la kiswahili lenye visawe vyake kama choo,uwani,n.k chumba au sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kutolea/kuhifadhi takamwili(mkojo) na mabaki ya chakula yasiyokuwa na kazi tena mwilini mwa mwanadamu(kinyesi).