Majadiliano:Kilimanjaro (Volkeno)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nimeshangaa kusoma urefu wa Kilimanjaro uwe mita 5963. Kwa kweli, vitabu vingi vinasema ni mita 5895. Hata hivyo nimesikia kwamba wataalamu wamepima tena wakafika kwenye kipimo cha mita 5892 tu. Je tuweke idadi gani? Oliver Stegen 13:24, 5 May 2006 (UTC)

Kwa kawaida namba hizi zote zimepatkana kwa kunakili kutoka makala nyingine mtandaoni. Ukiona namba zako zinaonekana vizuri zaidi basi sahihisha. --Kipala 15:07, 5 May 2006 (UTC)
Nimehakikisha na Wikipedia kwa Kiingereza nikabadilisha kuwa mita 5,895 (na futi 19,340). --Oliver Stegen 15:57, 5 May 2006 (UTC)
Mnaonaje uhamisho huu? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:32, 22 Mei 2016 (UTC)