Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Kilatini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sahihisho si yenyewe: >lugha ya zamani< haieleweki tukijadilia lugha inayotumika kila siku kama kilatini, tena lugha ambayo msamiati wake waendelea kukua. Wasemaji wa Kilatini hakika ni wengi kuliko lugha mbalimbali zinazoitwa "hai". --Kipala 18:15, 20 Januari 2006 (UTC)[jibu]