Majadiliano:John H. Bates

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Majadiliano:Kihariri oneshi)

Makala haieleweki. Kichwa hakina uhusiano na maudhui. Halafu hakuna daili kwamba mtu anayejadiliwa ana umaarufu wowote kwa kupokelewa katika kamusi elezo. Hakuna vyanzo wala ushuhuda wowote. Ifutwe.Kipala (majadiliano) 04:34, 6 Oktoba 2019 (UTC)[jibu]