Majadiliano:Kasubi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makaburi ya makabaka[hariri chanzo]

Nimeandika: "Mwaka 1882 ikulu ya Kabaka Mutesa I. ilijengwa kwenye kilima cha Kasubi. Alipokufa ikulu ikawa kaburi lake jinsi iliyvokuwa kawaida kati ya makabaka wa Buganda. Kuna desturi kwa makabila mbalimbali ya Afrika ya Mashariki ya kuwa mtu atazikwa nyumbani kwake hakuna atakeyeikalia tena."

Nimesikia maelezo haya huko Kampala, pia kama desturi kuhusu Waluo wa Kenya. Lakini kinyuma chake nimesoma katika maelazo ya kamati ya Unesco ya kuwa Mutesa alikuwa Kabaka wa kwanza aliyezikwa katika ikulu yake.

Ninaomba mtu mwenye uhakika asihishe kama ni lazima. --Kipala 18:52, 10 Juni 2006 (UTC)