Majadiliano:Karakana (Zanzibar)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Karakana ni moja miongoni mwa shehia zilizomo ndani ya mkoa wa Mjini Magharibi na wilaya ya Mjini Unguja. Jina linatokana na uwepo wa karakana kuu ya serikali. Pia Karakana ni moja miongoni mwa shehia sita zinazounda jimbo la chumbuni ambalo linaongozwa na Mbunge Mh Ussi Salum Pondeza na Mwakilishi Mh Miraji Khamis Mussa.