Majadiliano:Kanda za dunia
Mandhari
Nimejaribu kuweka kiungo kinachoelekea kwa amuzi la UM kuhusu mpangilio huo ila sijaweza kukigundua, wala kwenye wikipedia nyingine wala kurasani mwa mtandao. Je, linapatikana wapi? --Oliver Stegen 18:30, 20 Juni 2007 (UTC)
Subregion
[hariri chanzo]Salaam Oliver, pole na namba nyingi!
Je ni hii unayotafuta? http://en.wikipedia.org/wiki/Subregion. Pamoja na: http://unstats.un.org/unsd/methods/m49/m49regin.htm
Nitakuandikia kuhusu kitu kingine kwa barua pepe (si leo). Wasalaam --Kipala 20:24, 20 Juni 2007 (UTC)
- Asante sana, Kipala! Nitangojea barua yako ... --Oliver Stegen 21:19, 20 Juni 2007 (UTC)