Majadiliano:Jumba la Sanaa la Sydney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hili jina la makala nimetoa kwakuwa naamini ya kwamba Opera mara nyingi huwa mambo ya sanaa nk. Lakini hapa nina wasiwasi kuhusu hili jina. Labda tulipe jina mara mbili yaani: "Jumba la Sanaa la Sydney" na kuielekezea: "Jumba la Maonyesho la Sydney", mnaonaje?--Mwanaharakati 06:07, 18 Januari 2008 (UTC)