Majadiliano:Jens Fink-Jensen
Mandhari
Salaamu, labda urudie tahajia ya jina lako kwa Kiarabu [ar:يانس فينك يانسن]. Jinsi ilivyo inasomeka "Jans Fink Jansen". Heri kuacha vokali fupi.
Hata kwa Kigiriki sioni ubaya ukitumia herufi ya " Ί " badala ya "G" ili maandishi yalingane na sauti ya jina lako --Kipala 21:41, 14 Januari 2006 (UTC)