Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Jacob Zuma

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jacob Gedleyihlekisa Zuma (12 Aprili 1942) alikuwa Rais wa Afrika Kusini tangu mwaka 2009 hadi 2018, alipojiuzulu.

Alikuwa makamu wa rais Thabo Mbeki kati ya 1999 na 2005. Tangu Desemba 2007 hadi 2017 alikuwa mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Jamii:

   Waliozaliwa 1942Watu walio haiWanasiasa wa Afrika KusiniMarais wa Afrika Kusini

Start a discussion about Jacob Zuma

Start a discussion