Majadiliano:Ichiro Mizuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Katika kurasa kulikuwa na maingiliano fulani katika template, kulikosekana na kitu kimoja (| rangi = !!!) nikaweka. Kingine ni baadhi ya Jamii muhimu, mfano Watu wa Japan, Wanamuziki wa Japan, Waigizaji Filamu wa Japan n.k. Sina mengi hayo tu niliyojirisha katika makala hii.--Mwanaharakati 14:57, 30 Novemba 2007 (UTC)