Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Historia ya uandishi wa Qurani

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uislam ni dini iliyoletwa na warabu kuja Afrika ya mashariki baada ya dini hiyo kuenea kwa kasi sana katika bara la asia,na mwanzo wake ulikuwa ni unguja baada ya Sultan Seyyid Said kuhamisha makao yake kutoka Oman kuja Zenj(Uguja) pamoja na serikali yake yote kwa ajili ya biashara na uzuri wa mandhari ya Zanzibar. Japo dini nyengine husema Uislam ni dini iliyokuja kimaslahi kama vile tusikiavyo dini ya Kikristo ambayo ililetwa na wakoloni kutoka nchi za kaskazini ya magharibi kama ulaya,ureno,ujerumani na ufaransa baada ya kujua kwamba wa Afrika walishagundua njama za wakoloni kuionyonya na kuhujumu mali za Afrika,wakaamua kutengeneza fikra ambazo zingeweza kuwafanya Afrika wasahau mabaya waliofanyiwa mwanzo na wakoloni na huu ndio ulikuwa mwanzo wa dini ya kikristo kwa mujibu wa historia

Start a discussion about Historia ya uandishi wa Qurani

Start a discussion