Majadiliano:High Resolves

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maelezo yanahitajika[hariri chanzo]

Habari @Deborah John Ngira,

Je, makala hii ulitafasiri kutoka katika makala ya kiingereza? kama ndivyo tafadhari naomba jina la makala ya kiingereza.

Aamni kwako. MagoTech Tanzania (majadiliano) 00:28, 14 Machi 2023 (UTC)[jibu]