Majadiliano:Henchir-Aïn-Dourat

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kueleweka kwa Mkala[hariri chanzo]

Mwanzo makala imekuwa na Kiswahili kinachochanganya sana kueleweka, na mwanzo wa makala hii kumekuwa na ugumu wa kutambua hasa makala inaongelea kitu gani na hali hiyo inafanya kuwa na ugumu wa kuisahihisha makala hii.