Majadiliano:Guyani ya Kifaransa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Guyana - Gwiyan[hariri chanzo]

Mtumiaji KingoziTu alibadilisha jina la Guyana kuwa Gwiyan. Hakueleza mabadiliko. Nikiangalia ukurasa wa frwiki naona anatumia umbo linalofanana na jina la nchi (au jimbo) kwa kikrioli cha pale. Ila nikiangalia gcrwiki (wikipedia ya Krioli ya Guyana) jina la nchi katika Krioli si "Gwiyan" lakini "Lagwiyann" (taz. gcr:Lagwiyann). Gwiyan si jina rasmi kwa hiyo sioni sababu kubadilisha hata jina la Kiswahili. Narudisha mabadiliko nikoongeza jina la Kikrioli. Kipala (majadiliano) 20:47, 31 Agosti 2020 (UTC)[jibu]