Majadiliano:Go-Nara

Page contents not supported in other languages.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarehe ya kifo[hariri chanzo]

Katika wikipedia ya Kiingereza nimegundua tarehe yake ya kifo kama 27 Septemba (makala ya mwenyewe) au 27 Oktoba (makala ya mwana wake). Nimenakili tofauti hizo. --Oliver Stegen 11:28, 28 Julai 2007 (UTC)Reply[jibu]