Majadiliano:Go-Komyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tarehe ya kufariki kwake[hariri chanzo]

Katika makala yake ya wikipedia ya Kiingereza, tarehe yake imetajwa kuwa 30 Oktoba, 1654. Lakini katika makala ya mdogo wake Go-Sai, inasema kwamba alifariki tarehe 5 Januari, 1655. Nimenakili tofauti hizo katika makala hizo mbili. --Oliver Stegen 11:01, 28 Julai 2007 (UTC)