Majadiliano:Fortunatus Lukanima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Niliwahi kufanya naye kazi, nikiwa mfanyakazi wa Jimbo Katoliki la Arusha 1989-1996, Baba mwenye bidii sana ya kazi yoyote, mwaminifu..pamoja na pressure nyingi za wakati huo aliweza kuhimili..MTU asiye na majivuno, aliyejali wadogo, kasisi .Mkatoliki mtimilifu..mkweli asiyepindisha mambo..hakupendwa kwa sababu hii..MTU asiye mharibifu wa rasilimali..mwenye maono makuu..yapo mengi ya kusimulia ya baba huyu wa kiroho.