Majadiliano:Elinewinga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nimejaribu kupata habari za mtu huyu. Bahati mbaya sijafaulu. Hata jina lake la kwanza sijalipata. Nilivyochunguza kwenye tovuti ya Bunge ya Tanzania [1] hakuwa mbunge tangu mwaka wa 2000 (2000-2005, mbunge wa Hai alikuwa Freeman Mbowe, na tangu 2005 ni Fuya Godwin Kimbita). Nani angeweza kueleza zaidi? Asante! --Oliver Stegen 09:16, 22 Januari 2007 (UTC)[jibu]