Majadiliano:Elenzian J. Komba

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elenzian John Komba[hariri chanzo]

Elenzia ni mtu wa watu sana, mimi binafsi nilibahatika kumjua tukiwa shule ya sekondari ya ufundi Ifunda huko iringa, alikuwa ama hakika nguli kweli kweli kwenye lugha, niligombea naye nafasi ya Head Prefect mwaka huo, kwa uwezo wake wa kuongea sitosita kusema alinibwaga kiunaga ubaga lakini nilijisikia vizuri sana kuwa opponent wake maana alinifundisha siasa ni nini, maana baada ya yeye kushinda pia aliona kuna kitu ndani yangu akanipa nafasi tena kwenye serikali yake akitoa tofauti tulizokuwa nazo kipindi cha campaign.

Ametoa kitabu cha ushairi cha Wino wa karamu ndogo, ni kizuri na kinafanya vizuri sana.

Comment by Swilla Hagai Samson[hariri chanzo]

Hongera kwa kazi nzuri kaka Elenzian na watu wa ughaibuni wanasema "It's better To be Prepared and Not have an opportunity, Than to have an Opportunity and Not be Prepared, Because Oppatunities Waste No Time with UnPrepared People" But you my brother, you were long time prepared for who your about to become and we haven't seen a thing yet, Keep up the Hard work my brother. Hagai Samson Swilla (majadiliano) 14:11, 6 Juni 2019 (UTC)[jibu]