Majadiliano:Chama cha Wananchi
Weka madaMandhari
Latest comment: mwaka 1 uliopita by Brian A Shomi in topic Naomba namba za viongozi wa cuf
A alaykum napendelea kufahamu ya kwamba kuhusu vyama vingi,khawsa kwa vyama ambavyo vimesajiliwa kuanzia miaka ya tisini vinamkakati gani wa kulisaidia Taifa letu kiuchumi,kwa sababu limekuwa ni tatizo kubwa katika nchi yetu hayo.Kwa sababu nchi yetu inarasmali nyingi itakuwaje iwe ni katika nchi masikini,Tafa dhali viongozi kuweni na uchungu na nchi yenu,kwa nini ninasema hivi kwa sababu wanao faidika na rasmali zetu ni wageni kwa hiyo tuliangalie hilo.Nawaombeeni kwa muumba awawezeshe kulifanyia kazi hilo.
Naomba namba za viongozi wa cuf
[hariri chanzo]naomba namba ili nipate kujua taratibu za kujiunga na Cha hicho Cha cuf ili tushirikiane kupeperusha bendera ya haki Tanzania Brian A Shomi (majadiliano) 16:42, 20 Agosti 2025 (UTC)