Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Asili ya Kiswahili

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jambo linalojadiliwa linafaa kutajwa katika makala ya "Kiswahili". Jina la makala halieleweki kirahisi, maana mchangiaji alimaanisha "nadharia kuhusu asili ya Kiswahili", ambayo ni tofauti na "Nadharia ya Kiswahili". Kwa makala ya pekee ingefdaa kuonyesha vyanzoi na pia kueleza hizo nadharia tofauti, ambayo haitokei katika makala hii. 91.56.127.72 07:12, 10 Julai 2020 (UTC)[jibu]