Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Arusha Times

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arusha Times lilikuwa ni gazeti la kila wiki nchini Tanzania likichapishwa siku za Jumamosi kati ya mwaka 1996 hadi 2016. Lilikuwa likiandika habari za Arusha, Kilimanjaro na makala za utalii na taarifa kuhusu jumuiya ya Afrika Mashariki. Baada ya hapo lilirudi tena kama Tanzania Times mwaka 2020. Safari hii likiwa la kitaifa zaidi, likichapisha habari za nchi ya Tanzania na bara la Afrika.

Start a discussion about Arusha Times

Start a discussion