Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:40

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuhusu Mauretania Tingitana

[hariri chanzo]

Inawezekanaje Kaisari Claudius aliingiza jimbo hilo la Afrika katika Dola la Roma mwaka wa 40? Mwaka wake wa kwanza kuwa Kaisari ni 41. Ninavyoelewa ni Kaisari Caligula aliyemuua mfalme wa Mauretania mwaka huo wa 40, na Claudius aliifanya jimbo la Roma mwaka wa 44. Sijaweza kuthibitisha mambo hayo. Ndiyo sababu sijabadilisha makala hiyo. --Oliver Stegen 06:49, 17 Julai 2007 (UTC)[jibu]

Ni kweli. Nahamisha hii kwenda 42. Sina uhakika pia lakini wiki za Kijerumani, Kiitalia na makala kadhaa za Kiingereza zakubaliana. --Kipala 19:52, 17 Julai 2007 (UTC)[jibu]