Marcus Aurelius
Mandhari
(Elekezwa kutoka Maisha ya awali ya Marcus Aurelius)
Marcus Aurelius (26 Aprili 121 – 17 Machi 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi 161 hadi kifo chake.
Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcus Aurelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |