Nenda kwa yaliyomo

Maida Waziri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maida Waziri
Kazi yake Mwanaharakati wa haki za wanawake

Maida Waziri ni Raisi wa Sauti ya Wanawake Wajasiriamali Tanzania (VOWET) na Mkurugenzi mtendaji wa IBRA Construction Limited.

Maisha yake

[hariri | hariri chanzo]

Ni miongoni mwa watu walioweza kuthubutu kufanya maamuzi makubwa na magumu ili afikie lengo lake alilokusudia.

Alijitahidi kila mwaka kuanzisha kitu kipya ambacho kililenga kuwasaidia Watanzania kwa ujumla pamoja na yeye mwenyewe.

Mnamo mwaka 2000 alianzisha kampuni ya Ibra Contractor Limited & CivilWork ambayo kwa sasa imeshika daraja la pili kitaifa.

Maida Waziri anajishughulisha na biashara mwenye matarajio makubwa ya kampuni yake kufika nje ya nchi yaani Afrika Mashariki na nchi nyingine.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maida Waziri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.