Mahmoud Abbas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahmoud Abbas May 2018.jpg

Mahmoud Abbas (kwa Kiarabu: مَحْمُود عَبَّاس‎, Maḥmūd ʿAbbās; anajulikana pia kama Abu Mazen, أَبُو مَازِن‎, ʾAbū Māzin; alizaliwa 15 Novemba 1935) ni Rais wa Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina. Amekuwa Mwenyekiti wa Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) tangu tarehe 15 Januari 2005.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahmoud Abbas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.